2 Timotheo 2:14 BHN

14 Basi, wakumbushe watu wako mambo haya na kuwaonya mbele ya Mungu waache ubishi juu ya maneno. Ubishi huo haufai, ila huleta tu uharibifu mkuu kwa wale wanaousikia.

Kusoma sura kamili 2 Timotheo 2

Mtazamo 2 Timotheo 2:14 katika mazingira