2 Timotheo 3:11 BHN

11 udhalimu na mateso. Unayajua mambo yaliyonipata huko Antiokia, Ikonio na Lustra. Nilivumilia udhalimu mkubwa mno! Lakini Bwana aliniokoa katika mambo hayo yote.

Kusoma sura kamili 2 Timotheo 3

Mtazamo 2 Timotheo 3:11 katika mazingira