2 Timotheo 3:6 BHN

6 Baadhi yao huenda katika nyumba za watu na huwateka wanawake dhaifu waliolemewa mizigo ya dhambi na ambao wanaongozwa na tamaa za kila aina;

Kusoma sura kamili 2 Timotheo 3

Mtazamo 2 Timotheo 3:6 katika mazingira