2 Timotheo 3:8 BHN

8 Watu hao huupinga ukweli kama vile Yane na Yambre walivyompinga Mose. Hao ni watu wa akili potovu na imani ya uongo.

Kusoma sura kamili 2 Timotheo 3

Mtazamo 2 Timotheo 3:8 katika mazingira