2 Timotheo 4:13 BHN

13 Utakapokuja niletee koti langu nililoacha kwa Karpo kule Troa; niletee pia vile vitabu, na hasa vile vya ngozi.

Kusoma sura kamili 2 Timotheo 4

Mtazamo 2 Timotheo 4:13 katika mazingira