2 Timotheo 4:18 BHN

18 Bwana ataniokoa na mambo yote maovu, na kunichukua salama mpaka katika ufalme wake wa mbinguni. Kwake uwe utukufu milele na milele! Amina.

Kusoma sura kamili 2 Timotheo 4

Mtazamo 2 Timotheo 4:18 katika mazingira