2 Wathesalonike 3:6 BHN

6 Ndugu, tunawaamuru kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo, mjiepushe na ndugu wote walio wavivu na ambao hawafuati maagizo tuliyowapa.

Kusoma sura kamili 2 Wathesalonike 3

Mtazamo 2 Wathesalonike 3:6 katika mazingira