3 Yohane 1:11 BHN

11 Mpenzi wangu, usifuate mfano mbaya, bali mfano mwema. Kila atendaye mema ni wa Mungu; lakini anayetenda mabaya hajapata kumwona Mungu.

Kusoma sura kamili 3 Yohane 1

Mtazamo 3 Yohane 1:11 katika mazingira