13 akakaa huko siku arubaini akijaribiwa na Shetani. Alikuwa huko pamoja na wanyama wa porini, nao malaika wakawa wanamhudumia.
Kusoma sura kamili Marko 1
Mtazamo Marko 1:13 katika mazingira