Marko 1:27 BHN

27 Watu wote wakashangaa, wakaulizana, “Ni mambo gani haya? Je, ni mafundisho mapya? Mtu huyu anayo mamlaka ya kuamuru hata pepo wachafu, nao wanamtii!”

Kusoma sura kamili Marko 1

Mtazamo Marko 1:27 katika mazingira