Marko 10:52 BHN

52 Yesu akamwambia, “Nenda, imani yako imekuponya.” Mara huyo kipofu akaweza kuona, akamfuata Yesu njiani.

Kusoma sura kamili Marko 10

Mtazamo Marko 10:52 katika mazingira