Marko 11:2 BHN

2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Mtakapokuwa mnaingia humo, mtakuta mwanapunda amefungwa, ambaye bado hajatumiwa na mtu. Mfungueni mkamlete.

Kusoma sura kamili Marko 11

Mtazamo Marko 11:2 katika mazingira