Marko 11:7 BHN

7 Wakampelekea Yesu huyo mwanapunda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwanapunda na Yesu akaketi juu yake.

Kusoma sura kamili Marko 11

Mtazamo Marko 11:7 katika mazingira