Marko 12:12 BHN

12 Makuhani wakuu, waalimu wa sheria na wazee walifahamu ya kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu. Kwa hiyo walijaribu kumtia nguvuni, lakini waliogopa umati wa watu. Basi, wakamwacha, wakaenda zao.

Kusoma sura kamili Marko 12

Mtazamo Marko 12:12 katika mazingira