Marko 12:32 BHN

32 Basi, yule mwalimu wa sheria akamwambia, “Vyema Mwalimu! Umesema ukweli kwamba Mungu ni mmoja tu wala hakuna mwingine ila yeye.

Kusoma sura kamili Marko 12

Mtazamo Marko 12:32 katika mazingira