Marko 13:11 BHN

11 Nao watakapowatieni nguvuni na kuwapeleka mahakamani, msiwe na wasiwasi juu ya yale mtakayosema; saa ile itakapofika, semeni chochote mtakachopewa, maana si nyinyi mtakaosema, bali Roho Mtakatifu.

Kusoma sura kamili Marko 13

Mtazamo Marko 13:11 katika mazingira