Marko 13:19 BHN

19 Maana wakati huo kutakuwa na dhiki ambayo haijatokea tangu Mungu alipoumba ulimwengu mpaka leo, wala haitatokea tena.

Kusoma sura kamili Marko 13

Mtazamo Marko 13:19 katika mazingira