Marko 13:9 BHN

9 “Lakini nyinyi jihadharini. Maana watu watawapelekeni mahakamani, na kuwapigeni katika masunagogi. Mtapelekwa mbele ya watawala na wafalme kwa sababu yangu, ili mpate kunishuhudia kwao.

Kusoma sura kamili Marko 13

Mtazamo Marko 13:9 katika mazingira