Marko 14:32 BHN

32 Basi, wakafika katika bustani iliyoitwa Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati mimi nasali.”

Kusoma sura kamili Marko 14

Mtazamo Marko 14:32 katika mazingira