Marko 14:36 BHN

36 Akasema, “Baba yangu, kwako mambo yote yanawezekana. Uniondolee kikombe hiki; lakini isiwe kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.”

Kusoma sura kamili Marko 14

Mtazamo Marko 14:36 katika mazingira