Marko 14:43 BHN

43 Yesu alipokuwa bado anasema, Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili, akafika pamoja na umati wa watu wenye mapanga na marungu. Watu hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, waalimu wa sheria na wazee.

Kusoma sura kamili Marko 14

Mtazamo Marko 14:43 katika mazingira