Marko 14:58 BHN

58 “Tulimsikia mtu huyu akisema, ‘Nitaliharibu hekalu hili lililojengwa kwa mikono, na kwa siku tatu nitajenga lingine lisilojengwa kwa mikono.’”

Kusoma sura kamili Marko 14

Mtazamo Marko 14:58 katika mazingira