70 Petro akakana tena. Baadaye kidogo, watu waliokuwa wamesimama hapo wakamwambia Petro, “Hakika wewe ni mmoja wao, maana wewe ni Mgalilaya.”
Kusoma sura kamili Marko 14
Mtazamo Marko 14:70 katika mazingira