Marko 15:12 BHN

12 Pilato akawauliza tena, “Basi, sasa mwataka nifanye nini na mtu huyu mnayemwita Mfalme wa Wayahudi?”

Kusoma sura kamili Marko 15

Mtazamo Marko 15:12 katika mazingira