Marko 15:34 BHN

34 Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, akasema, “Eloi, Eloi, lema sabakthani?” Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Kusoma sura kamili Marko 15

Mtazamo Marko 15:34 katika mazingira