36 Mtu mmoja akakimbia, akaichovya sifongo katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe akisema, “Hebu tuone kama Elia atakuja kumteremsha msalabani!”
Kusoma sura kamili Marko 15
Mtazamo Marko 15:36 katika mazingira