Marko 15:44 BHN

44 Pilato alishangaa kusikia kwamba Yesu alikuwa amekwisha kufa. Basi, akamwita jemadari, akamwuliza kama Yesu alikuwa amekufa kitambo.

Kusoma sura kamili Marko 15

Mtazamo Marko 15:44 katika mazingira