Marko 15:46 BHN

46 Hapo Yosefu akanunua sanda ya kitani, akauteremsha chini huo mwili, akauzungushia sanda. Akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa mwambani, kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango.

Kusoma sura kamili Marko 15

Mtazamo Marko 15:46 katika mazingira