8 Basi, wakatoka pale kaburini mbio, maana walitetemeka kwa hofu na kushangaa. Hawakumwambia mtu yeyote kitu, kwa sababu waliogopa mno.[
Kusoma sura kamili Marko 16
Mtazamo Marko 16:8 katika mazingira