Marko 2:10 BHN

10 Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anayo mamlaka ya kuwasamehe watu dhambi duniani.” Hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza,

Kusoma sura kamili Marko 2

Mtazamo Marko 2:10 katika mazingira