14 Alipokuwa akipita, akamwona Lawi mwana wa Alfayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Yesu akamwambia, “Nifuate!” Lawi akasimama, akamfuata.
Kusoma sura kamili Marko 2
Mtazamo Marko 2:14 katika mazingira