11 Na watu waliokuwa wamepagawa na pepo wachafu walipomwona, walijitupa chini mbele yake na kupaza sauti, “Wewe ni Mwana wa Mungu!”
Kusoma sura kamili Marko 3
Mtazamo Marko 3:11 katika mazingira