22 Nao waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu, wakasema, “Ana Beelzebuli! Tena, anawafukuza pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo.”
Kusoma sura kamili Marko 3
Mtazamo Marko 3:22 katika mazingira