Marko 3:27 BHN

27 “Hakuna mtu awezaye kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyanganya mali yake, isipokuwa kwanza amemfunga huyo mtu mwenye nguvu; hapo ndipo atakapoweza kumnyanganya mali yake.

Kusoma sura kamili Marko 3

Mtazamo Marko 3:27 katika mazingira