Marko 3:34 BHN

34 Hapo akawatazama watu waliokuwa wamemzunguka, akasema, “Tazameni! Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.

Kusoma sura kamili Marko 3

Mtazamo Marko 3:34 katika mazingira