Marko 3:4 BHN

4 Kisha, akawauliza, “Je, ni halali siku ya Sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuua?” Lakini wao hawakusema neno.

Kusoma sura kamili Marko 3

Mtazamo Marko 3:4 katika mazingira