Marko 3:8 BHN

8 Idumea, ngambo ya mto Yordani, Tiro na Sidoni. Watu hao wengi walimwendea Yesu kwa sababu ya kusikia mambo mengi aliyokuwa ameyatenda.

Kusoma sura kamili Marko 3

Mtazamo Marko 3:8 katika mazingira