Marko 4:1 BHN

1 Yesu alianza kufundisha tena akiwa kando ya ziwa. Umati mkubwa wa watu ulimzunguka hata ikambidi aingie katika mashua na kuketi. Watu wote wakawa wamekaa katika nchi kavu, kando ya ziwa.

Kusoma sura kamili Marko 4

Mtazamo Marko 4:1 katika mazingira