15 Watu wengine ni kama walio njiani ambapo neno lilipandwa. Lakini mara tu baada ya kulisikia, Shetani huja na kuliondoa neno hilo lililopandwa ndani yao.
Kusoma sura kamili Marko 4
Mtazamo Marko 4:15 katika mazingira