Marko 4:24 BHN

24 Akawaambia pia, “Sikilizeni kwa makini mnachosikia! Kipimo kilekile mnachowapimia watu wengine, ndicho mtakachopimiwa; tena mtazidishiwa.

Kusoma sura kamili Marko 4

Mtazamo Marko 4:24 katika mazingira