34 Hakuongea nao chochote bila kutumia mifano; lakini alipokuwa pamoja na wanafunzi wake peke yao alikuwa akiwafafanulia kila kitu.
Kusoma sura kamili Marko 4
Mtazamo Marko 4:34 katika mazingira