15 Wakamwendea Yesu, wakamwona na mtu yuleyule aliyekuwa amepagawa na jeshi la pepo ameketi chini, amevaa nguo na ana akili yake sawa, wakaogopa.
Kusoma sura kamili Marko 5
Mtazamo Marko 5:15 katika mazingira