Marko 5:21 BHN

21 Yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. Umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa.

Kusoma sura kamili Marko 5

Mtazamo Marko 5:21 katika mazingira