Marko 5:40 BHN

40 Lakini wao wakamcheka. Basi, akawatoa wote nje, akawachukua baba yake na mama yake huyo msichana na wale wanafunzi wake, wakaingia chumbani alimokuwa huyo msichana.

Kusoma sura kamili Marko 5

Mtazamo Marko 5:40 katika mazingira