Marko 6:29 BHN

29 Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.

Kusoma sura kamili Marko 6

Mtazamo Marko 6:29 katika mazingira