Marko 7:24 BHN

24 Yesu aliondoka hapo, akaenda wilaya ya Tiro. Huko aliingia katika nyumba moja na hakutaka mtu ajue; lakini hakuweza kujificha.

Kusoma sura kamili Marko 7

Mtazamo Marko 7:24 katika mazingira