Marko 8:25 BHN

25 Kisha Yesu akamwekea tena mikono machoni, naye akakaza macho, uwezo wake wa kuona ukamrudia, akaona kila kitu sawasawa.

Kusoma sura kamili Marko 8

Mtazamo Marko 8:25 katika mazingira