6 Basi, akawaamuru watu wakae chini. Akaitwaa ile mikate saba, akamshukuru Mungu, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawagawie watu, nao wakawagawia.
Kusoma sura kamili Marko 8
Mtazamo Marko 8:6 katika mazingira