Marko 9:1 BHN

1 Yesu akaendelea kuwaambia, “Kweli nawaambieni, wako wengine papa hapa ambao hawatakufa kabla ya kuuona ufalme wa Mungu ukija kwa enzi.”

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:1 katika mazingira