Marko 9:12 BHN

12 Naye akawajibu, “Naam, Elia anakuja kwanza kutayarisha yote. Hata hivyo, kwa nini basi imeandikwa katika Maandiko Matakatifu kwamba Mwana wa Mtu atapatwa na mateso mengi na kudharauliwa?

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:12 katika mazingira